1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uzushi wa kuondoshwa madarakani kwa Kanali Kiza Besigye wa chama cha FDC nchini Uganda

6 Julai 2007

Viongozi wa chama cha Forum for Democratic Changes -FDC cha Uganda, wamekanusha habari zilizozagaa mjini Kampala kwamba kiongozi wa chama hicho kanali mstaafu Kiza Besigye huenda akaondolewa madaraka na wanachama kutokana na kukosa muelekeo w kuendesha chama hicho.

https://p.dw.com/p/CHBT
Kanali mstaafu Kiza Besigye wa chama cha FDC,nchini Uganda
Kanali mstaafu Kiza Besigye wa chama cha FDC,nchini UgandaPicha: dpa