Uzazi wa Mpango – Kipindi 2 – Mama kasema nini?16.03.201116 Machi 2011Desirée anawajibika kumsaidia kaka yake, Endurance ambaye anasoma. Anagundua kupitia kwa rafiki yake Lorraine juu ya shindano la vipaji katika televisheni litakalofanyika katika mji wa Granville ulio jirani na kwao.https://p.dw.com/p/QoiVMatangazo