UTAH:hakuna matumaini ya uhai kwa wachimba migodi sita;
20 Agosti 2007
https://p.dw.com/p/CBXc
Matangazo
Habari kutoka jimbo la Utah Marekani zinasema hakuna matumaini ya kuokoa maisha ya wafanyakazi sita wa mgodi walionaswa zaidi ya mita 457 chini ya mgodi .