1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Utafiti wangu lazima unufaishe watu"

Elizabeth Shoo24 Julai 2015

Mtafiti Dr. Askwar Hilonga kutoka Tanzania amegundua namna ya kuchuja maji kuondoa kemikali na vijidudu. Anataka utaalamu wake usiishie kwenye makaratasi bali uinufaishe jamii.

https://p.dw.com/p/1G3ym
Tansania Forscher Askwar Hilonga
Picha: Askwar Hilonga

Asilimia 50 ya wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali nchini Tanzania wanaumwa magonjwa ya tumbo ambayo mara nyingi husababishwa na uchafu kwenye maji. Tatizo hilo lilimfanya Dr. Askwar Hilonga kutafuta namna ya kusafisha maji ya kunywa kwa njia rahisi na nafuu.

Kusikiliza mahojiano kati ya Elizabeth Shoo na Dr. Askwar Hilonga bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.