1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ushirikina upo miongoni mwa vijana?

Jane Nyingi12 Oktoba 2016

Unapoingia sehemu za mijini hutayakosa mabango yaliyo na matangazo yanayoeleza huduma wanazotoa waganga wa kienyeji. Kuanzia kutibu wasiwasi, kumtuliza mpenzi, kuongeza makalio, hipsi, kulipiza kisasi, kuongezeka akili za darasani na kadhalika. Tunaweza kusema ni mbinu tu ya kuwaibia watu hela au waganga wanasaidia kweli?

https://p.dw.com/p/2RA4n