Ushiriki katika siasa - Kipindi 7 - Tushikamane05.04.20115 Aprili 2011Katika kipindi hiki tunamfuatilia Ronnie na timu yake ya soka pia Betty na kundi lake la kwaya. Je timu na kundi hilo litaendelea kuwa imara au kusambaratika? Eveline ameahidi kumtembelea mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.https://p.dw.com/p/Q1MFMatangazo