Ushiriki katika siasa - Kipindi 1 – Viongozi huandaliwa sio kuzaliwa
Aboubakary Jumaa Liongo5 Aprili 2011
Katika mfululizo wa vipindi hivi, tunakutana na familia ya Mapito. Afisa wa polisi aliyefiwa na mkewe, ana watoto 3. Eveline amemaliza sekondari, Ronnie ana kipaji cha soka na Betty ana ndoto ya kuwa muimbaji.