Usalama katika mpaka baina ya Kongo na Rwanda
8 Oktoba 2012Matangazo
Rraia wa nchi ya Congo wanalalamikia kuingia humo kwa wanajeshi wa Burundi,kutafuta taarifa kuhusu kuwepo kwa waasi wa FNL katika bonde la Ruzizi.
Raia wanahofia kuwa kuingia huko huenda kukasababisha hali ya kutoelewana baina ya nchi hizo Mbili.
John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Goma.
(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi:John Kanyunyu
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman