Usain Bolt atamba mita 100 Berliin | Michezo | DW | 17.08.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Michezo

Usain Bolt atamba mita 100 Berliin

Rekodi mpya ya dunia sek.9.58

default

Usain Bolt anaadhimisha ushindi.

Katka siku ya piilii ya mashindano ya riadha ulimwengun mjini Berlin, mjamaica, bngwa wa olimpik na rekodi ya dunia Usan bolt,aliizusha kimbunga uwanjani alipofuta sek. 0.11 kutoka ile rekodii yake ya zamani. M

uamerkaTyson Gay,pia alikimbia muda wake bora kabisa lakini hakuweza kufua dafu kulzuwia kombora la jamaica.

Msichana wa Ujerumani Jennfer Oeser alitim,ka mbiobaada ya kuanguka kunyakua medal ya fedha kwa Ujerumani katika mashndano 7 mbal mbali (Heptathlon).Kenya, iilipku Ethiopa hapo Jumamosi pale Masai alipotoroka na medali ya kwanza ya dhahabu kwa Kenya kutoka mashindano haya.

Wakati ulimwengu mzima umeduwaa juu ya jinsi kombora la Jamaca Usain Bolt lilivyofyatuka uwanjan jana usku katika final ya mita 100 wanaume na kuweka rekod ya ajabu ya dunia ya sek. 9.58 ikifuta ile yake ya zamani alioweka katika mchezo ya olimpik ya Beijing, macho leo sku ya tatu yanakodolewa fnali 3:Finali ya mita 100 wanawake ambao wasichana wa Jamaiica wamepana kufuata nyayo za Usain Bolt-dume lao.

Kwa waafrika mashariiki-Kenya na Ethiopia,macho yatakodolewa fnali ya mta 10.000 wanaume ambamo bingwa wa dunia Kenenisa Bekele atazamiwa kulipza kisasi kwa wakenya kwa kuwapokonya waethiopia jumamosi taji la mita 10.000 wanawake.

Hiyo ni ajenda ya joni ya leo.

Ulimwengu mzima wa riadha lakni umesisimshwa na kombora kalii la kuinuklia la masafa ya mita 100 alilolifyatua jana usiiku Usain Bolt liliilomhlkisha hasimu yake Muamerika Tyson Gay na rekodii yake ya zamani ya dunia.Mwanadamu huyu wa kasi kabisa alifuta 0.11 kutoka le rekodi yake ya kabla ya sek.9.69 alioweka Beijing mwaka jana .Gay na Asafa Powel walimtia Usan Bolt vishindo njiiani ,lakini ushindii wake haukuwa na shaka: Gay akabidi kuridhika na medali ya fedha kwa muda wake bora kabisa wa sek.9.71 sawa na Asafa Powell wa Jamaika uliompatiia medali ya shaba kwa sek.9.84

Baadae, bingwa mpya wa dunia Usan Bolt alipoulizwa alifuraha sana changamoto ya jana usiiku alisema:

"Bila shaka yoyote, kwavile nilikua mbele katika mbo hz.Nkhisi uzuri na nlingiia uwanjani niimetula kabisa kama desturi yangu na nilikuwa tayari kwa changamoto."

Je, ulitarajia muda uliochukua kuweka rekodi mpya ya duna ?

Usain Bolt alijbu:

"La, hasha.Sijatarajia,kwanii nilingia uwanjani kushinda tu na nilifanya hvyo."Alisema bingwa wa ajabu wa mita 100 na mwanadamu wa kasi kabisa duniiani kutoka kisiwa cha raggae cha Jamaica.

Ulikuwa pia usku wa kufurahisha kwa mashabiki wa riadha wa Ujerumani:Ujerumani iliondoka uwanja wa Olmpik wa Berlin jana usiiku na medali 2 za fedha na 1 ya shaba:Nadine Kleiinert alirusha gololi la chuma mita 20 na kujipata medali ya fedha wakati mwenzake wa kiume Ralf Bartzel alondokea shaba .

Shangwe na vigelegele uwanjani zilkwenda kwa mschana Jennifer Oeser ambae alianguka na kunyanyuka kuokoa medali yake ya fedha katika michezo 7 mbali mbali (heptathlon)-medali ya dhahabu ikienda kwa muiingereza:Jessiica Ennis.

Hivi ndivyo, Jennifer alvyoshangira ushindi wake:

"Nilikwshasema kabla hakuna atakaenizuwiia sasa kutwa medali ya fedha.Halafu nikaja kuanguka chni.Nikasema la, haiwezekani, nikajikokota na kukimbia huku mahasimu wakinikaribia huku mashabiki wangu wakinitia shime kusonga mbele hadi ushind."

Hivyo, ndivyo mambo yalvyokuwa jana usiku.Leo waafrika wanakodoa macho katika finali ya mita 10.000 wanaume -swali medali ya dhahabu itakwenda wapi-wanalo wakenya na waethiopia ?

 • Tarehe 17.08.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/JCk4
 • Tarehe 17.08.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/JCk4