1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani waelezea mipango yake Kenya

Josephat Charo25 Novemba 2017

Baada ya mahakama ya juu ya Kenya kupitisha kwamba Uhuru Kenyatta alichaguliwa kihalali katika uchaguzi 26.10.2017, muungano wa upinzani NASA unapania kuchukua hatua kuhakikisha kunakuwa na haki katika mfumo mzima wa uchaguzi nchini humo. Mmoja wa vigogo wa NASA, Musalia Mudavadi, anazungumza katika Kinagaubaga na Josephat Charo

https://p.dw.com/p/2oFFy