1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani Kenya wajiandaa kukabiliana na Kenyatta

Mohammed Abdulrahman Mohammed14 Februari 2017

Kinaga Ubaga kimetuama nchini Kenya ambapo kutafanyika uchaguzi mkuu Agosti 8, 2017. Ushindani mkali unatarajiwa kati ya chama tawala Jubilee kinachoongozwa na Rais Uhuru Kenyatta, na Ushirika wa vyama vinne vya upinzani unaojulikana kama National Super alliance - NASA.

https://p.dw.com/p/2XWeg

Mohamed Abdul-rahman, amezungumza na Phillip Etale, Mkurugenzi wa mawasiliano wa chama cha ODM ambacho ni mshirika mmojawapo katika NASA.