UN yasifu makubaliano kati ya Kenyatta na Odinga | Mada zote | DW | 13.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

UN yasifu makubaliano kati ya Kenyatta na Odinga

Umoja wa Mataifa umewapongeza viongozi wa Kenya baada ya kiongozi wa muungano wa Upinzani wa NASA Raila Odinga kukutana na Rais Uhuru Kenyatta kwa mara ya kwanza na kufikia makubaliano ya kuondowa mvutano wa kisiasa. Pongezi hizo za kimataifa zinachukuliwa vipi na hali halisi ya kisiasa nchini Kenya ikoje?

Sikiliza sauti 03:00
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Sikiliza mahojiano yafuatayo ya DW na Agina Ojwang, mwanasheria na mchambuzi wa masuala ya kisiasa mjini Nairobi.