1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afya Yako

Umuhimu wa kujua kundi lako la damu

Kundi A, B, AB au O? Je, unafahamu uko kwenye kundi gani la damu? Unaweza kumchangia nani damu au kupokea damu kutoka kwa nani? Caro Robi anafafanua yote hayo katika makala ya Afya Yako.

Sikiliza sauti 09:45

Afya Yako na Caro Robi

                                  

Sauti na Vidio Kuhusu Mada