1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umri gani unafaa kuanza mahusiano?

Bruce Amani13 Februari 2018

Je, ulikuwa na umri gani ulipopata "boyfriend" au "girlfriend" wako wa kwanza? Na unadhani ni umri gani sahihi kwa vijana kuanzisha mahusiano ya kimapenzi? Mara nyingi wazazi wanakuwa na mtazamo tofauti kabisa na watoto wao katika suala hili. Ni mada ya Bruce Amani katika Vijana Mchakamchaka.

https://p.dw.com/p/2saGu