1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Katika umri gani, mwanamke ni mkongwe mno kupata mtoto?

Amina Abubakar9 Oktoba 2015

Kumekuwa na kauli nyingi sana katika jamii juu ya umri ambao mwanamke akishafikia ni hatari kwake au haiwezekani kabisa kupata mtoto. Katika makala hii ya "Afya Yako", Amina Abubakar anajaribu kuyafumbua mafumbo yaliyomo kwenye kauli hizo.

https://p.dw.com/p/1GlrY