Ukeketaji wa wanawake ni uvunjaji wa haki za binaadamu | Masuala ya Jamii | DW | 30.11.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Ukeketaji wa wanawake ni uvunjaji wa haki za binaadamu

Mila ya kuwakeketa wanawake inayofuatwa na baadhi ya jamii ulimwenguni inaelezwa kuwa ni aina moja ya udhalilishaji na uvunjaji wa haki za kibinaadamu za wanawake unaohatarisha pia maisha yao.

Kampeni ya kupinga ukeketaji dhidi ya wanawake.

Kampeni ya kupinga ukeketaji dhidi ya wanawake.

Salma Said anazungumzia mila ya ukeketaji wanawake katika makabila na imani tafauti za kidini, ingawa anahoji kwamba mila hiyo si sehemu ya dini yoyote ile ulimwenguni.

Makala: Salma Said
Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada