Baadhi ya maeneo ya Afrika ya Mashariki hivi sasa yanakabiliwa na ugonjwa maambukizi wa tete-kuwanga, ambao umewashika sana watoto wa chini ya miaka 10.
https://p.dw.com/p/RlaH
Matangazo
Katika makala hii ya Afya, Halima Nyanza anazungumza na madaktari bingwa na wagonjwa waliowahi kuuguwa ugonjwa huu wa tete-kuwanga.