1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchambuzi wa maisha ya Helmut Schmidt

Mohammed Abdulrahman Mohammed11 Novemba 2015

Salamu za rambi rambi kutoka pembe mbali mbali za dunia zinaendelea kumiminika kufuatia kifo cha kansela wa zamani wa Ujerumani Helmut Schmidt, kilichotokea jana jioni. Schmidt alifariki dunia nyumbani kwake mjini Hamburg akiwa na umri wa miaka 96. Mchambuzi Abdullah Salim Mzee akiwa mjini Potsdam, akimuelezea marehemu Schmidt .

https://p.dw.com/p/1H3qU