Uhuru wa vyombo vya Habari nchini Kenya | Matukio ya Kisiasa | DW | 29.09.2009
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Uhuru wa vyombo vya Habari nchini Kenya

Nchini Kenya, Chama cha wamiliki wa Vyombo vya habari kimefanya mkutano wa faragha kujadili hatua za kuchukua kufuatia tangazo la serikali kuanzisha sheria mpya zitakazodhibiti matangazo na vipindi vinavyorushwa hewani.

Chama hicho kinasema hii ni njia moja ya serikali kuingilia uhuru wa vyombo vya habari.Ili kupata kilichojiri katika mkutano wao wa leo Jane Nyingi alizungumza na mmoja wa wanachama wake Bw. Herman Igambi na kwanza alisema:

Mwandishi:Jane Nyingi

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 29.09.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/Jtcv
 • Tarehe 29.09.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/Jtcv

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com