1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhuru wa Kosovo

9 Septemba 2007
https://p.dw.com/p/CBRM

BELGRADE:

Serbia imeiarifu Marekani mwishoni mwa wiki hii kuwa vitisho vyake wazi kulazimisha uhuru wa jimbo la Kosovo vitachafua mazungumzo ya kusaka suluhisho la Kosovo linalililia uhuru.Ikidharaua mwito wa Umoja wa Ulaya wa kuachana kabisa na vitisho vyake binafsi vya kutumia nguvu huko Kosvo,Serbia imedai kuwa Marekani iekeze kwnini inatishia kulazimisha uhuru wa Kosovi hata kinyume na sheria.