Uhamiaji – Kipindi 01 – Njia ngumu isiyo halali! Senegal – Visiwa vya Canary
22 Machi 2011
Leo vijana wengi wa Kiafrika huondoka nyumbani kutafuta maisha mazuri Ulaya. Lakini kwa nini wanaondoka? Nini kinachowasubiri katika safari zao? Na ina maana gani kwa wanaobaki? Ungana nasi ujifunze!