1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhalifu wa mtandao na chaguzi

10 Julai 2017

Ni wazi umeshasikia sana kuhusu udukuzi kwennye chaguzi mbalimbali duniani. Na hivi sasa kukielezwa kuongezeka kwa uhalifu wa kimtandao hasa katika nyakati hizo za chaguzi, Kulikoni? Makala ya Sema Uvume itakujuza mengi. Sikiliza

https://p.dw.com/p/2gHiN