Uganda: Wakristo wafanya harambee kujenga msikitiElizabeth Shoo27.04.201627 Aprili 2016Wakristo wa kijiji cha Namayiga nchini Uganda wameamua kuchanga pesa kusaidia wenzao wa dini ya Kiislamu kupata mahali pa kuabudu. Hizo ni juhudi za kuleta maendeleo bila kujali tofauti za dini.https://p.dw.com/p/1IdVHPicha: DW/E. LubegaMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audioWaumini wa Kiislamu katika msikiti wa zamani kijijini NamayigaPicha: DW/E. Lubega Waumini ndani ya msikiti wa zamani uliochukua miaka mitano kujengaPicha: DW/E. Lubega Wakristo wa kijijini Namayiga walichanga pesa kusaidia ujenzi wa msikiti mpyaPicha: DW/E. Lubega