Ufaransa yalaumiwa kwa kurefusha muda wa hali ya hatari
27 Februari 2016
Ufaransa ambayo imekuwa katika hali ya hatari tokea mwezi wa Novemba kufuatia mashambulizi ya kigaidi Paris inalaumiwa kwa kushindwa kutowa ushahidi wa kutosha juu ya haja ya kurefusha muda wa hali ya hatari hadi Mei