1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

Ufahamu utamaduni wa "Ada" wa Wakomoro

Saumu Ramadhani Yusuf5 Mei 2017

Visiwani Comoro kuna kile kinachoitwa "harusi kubwa" au "ada" ama kwa kiingereza "the grand marriage." Ni utamaduni wa Wakomoro unaowafanya kutambulika kote duniani. Wanasema "ada" ni sawa na mauti, yaani ni lazima kila Mkomoro aipitie. Fahamu mengi zaidi katika "Utamaduni na Sanaa" na Saumu Mwasimba.

https://p.dw.com/p/2cThn
Wanaume wa Comoro wakiwa wamevalia mavazi rasmi ya sherehe ya ada
Wanaume wa Comoro wakiwa wamevalia mavazi rasmi ya sherehe ya adaPicha: Imago/imagebroker
Zawadi za dhahabu anazotakiwa kutoa bwana harusi kwa bibi harusi katika sherehe ya ada
Zawadi za dhahabu anazotakiwa kutoa bwana harusi kwa bibi harusi katika sherehe ya ada Picha: Getty Images/AFP/I. Yossouf
Wanawake Comoro wakicheza na kuimba katika sherehe ya ada
Wanawake Comoro wakicheza na kuimba katika sherehe ya adaPicha: Imago/imagebroker