1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ufahamu kwa kina ugonjwa wa kifafa

Sylvia Mwehozi
3 Oktoba 2017

Ugonjwa wa kifafa unahusishwa na mtu kupata wendawazimu. Hizi ni fikra na dhana ambazo hazina ukweli. Nchini Kenya Wakenya 4 kati ya 100 wanaugua ugonjwa huu unaoathiri ubongo wa mwanadamu. Wakio Mbogo yuko tayari kukuelmisha katika Makala ifuatayo ya Afya.

https://p.dw.com/p/2l8sl