1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Haki za binadamu

Udhalilishaji wa kingono katika michezo

Ni tatizo linalowakumba watoto na vijana Uingereza na ndio kwanza limeibuliwa hadharani hivi karibuni na kuutingisha ulimwengu wa soka. Kipindi cha Mbiu ya Mnyonge kinaangazia mada hiyo.

Sikiliza sauti 09:48

Makala ya Mbiu ya Mnyonge

            

Sauti na Vidio Kuhusu Mada