1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchambuzi juu ya mzozo wa Burundi

Sudi Mnette13 Novemba 2015

Wasiwasi juu ya mzozo unaoendelea Burundi ukiwa umetanda, Khalid Hassan, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na usalama katika Kanda ya Maziwa Makuu, anaelezea kama ipo haja ya kuupa umuhimu wasiwasi huo.

https://p.dw.com/p/1H5Kr