1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uchambuzi juu ya kesi ya Ongwen

Grace Patricia Kabogo21 Januari 2016

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu-ICC, leo imeanza kusikiliza kesi ya aliyekuwa kamanda mkuu wa kundi la waasi la Uganda la Lord's Resistance Army-LRA, Dominic Ongwen. Mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Kampala, Ali Mutasa anaeleza

https://p.dw.com/p/1Hhse