1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Uchaguzi Tanzania: Matukio ya vipigo Zanzibar

Kura zimeanza kuhesabiwa katika baadhi ya vituo huko Zanzibar, lakini kuna ripoti juu ya matukio ya watu kupigwa. Mwandishi na mchambuzi Salim Said Salim ameshuhudia tukio la aina hiyo. Kwa zaidi sikiliza hapa.

Sikiliza sauti 02:25

Msikilize wandishi na mchambuzi Salim Said Salim akiwa Zanzibar

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com