1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Twitter yatimiza miaka 10

Tangu ulipoanzishwa mtandao huo wa kijamii umepata watumiaji milioni 320 wanaoshirikishana habari na picha kila siku. Katika Sema Uvume, wasikilizaji wa DW wanazungumzia wanavyoutumia mtandao huu.

Sikiliza sauti 09:45

Msikilize Elizabeth Shoo katika Sema Uvume

Sauti na Vidio Kuhusu Mada