1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tundu Lissu apewa dhamana

Hawa Bihoga30 Juni 2016

Mbunge wa jimbo la Singida mashariki (CHADEMA) Tundu Lissu, amepewa dhamana na kesi kuahirishwa hadi mwezi Agosti, kufuatia mashitaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kosa la kutoa maneno ya uchochezi ya kuidharau mamlaka halali ya taifa hilo.

https://p.dw.com/p/1JGvE