Trump na Cruz warushiana madongo Twitter | Masuala ya Jamii | DW | 30.03.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Trump na Cruz warushiana madongo Twitter

Wagombea wakuu wa chama cha Republican mbali na kushambuliana wao kwa wao, sasa wameamua kushambulia wake wa wapinzani. Heidi Cruz na Melania Trump wamejikuta kwenye mgogoro. Yote hayo katika Sema Uvume.

Sikiliza sauti 09:46

Sikiliza Sema Uvume na Elizabeth Shoo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada