1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump akimbiwa na mshauri mwengine

23 Machi 2018

Mjumbe mwengine wa safu ya utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani ameondoka, na safari hii ni mshauri wake wa masuala ya usalama, HR McMaster, ambaye Trump anasema nafasi yake inachukuliwa na mtu mwenye siasa kali na mpendelea vita, John Bolton. Papo kwa Papo 23 Machi 2018.

https://p.dw.com/p/2uqg9