TOKYO: Shinzo Abe apelekwa hospitali kwa machofu | Habari za Ulimwengu | DW | 13.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

TOKYO: Shinzo Abe apelekwa hospitali kwa machofu

Waziri Mkuu wa Japani Shinzo Abe anaeondoka madarakani amepelekwa hospitali,siku moja baada ya kujiuzulu kwa ghafula.Kwa mujibu wa maafisa, Abe ana machofu,lakini vyombo vya habari nchini Japani vinasema,afya ya Abe imedhoofika tangu chama chake kushindwa vibaya sana katika uchaguzi wa bunge uliofanywa tarehe 29 mwezi wa Julai.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com