1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Theresa May atiwa adabu na wapiga Kura ila asema ataunda serikali

9 Juni 2017

Wapiga kura wa Uingereza wamemtia adabu waziri mkuu Theresa May na chama chake cha Conservative kwa kuwapokonya wingi mkubwa bungeni,Mkurugenzi wa zamani wa FBI Comey aanika makubwa kuhusu vitisho vya Trump na Moto wa msituni wazua taharuki Afrika Kusini

https://p.dw.com/p/2eQ8w