1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Thailand yaanza mwaka mzima wa maombolezo

Thailand yaanza mwaka mzima wa maombolezo kwa kifo cha mfalme wao, Donald Trump akanusha kuhusika na kashfa za ngono na makubaliano ya kusitisha mapigano yaongezewa muda hadi Disemba 31 nchini Colombia. Yote hayo ni katika Papo kwa Papo ya leo Oktoba 14,2016.

Tazama vidio 01:46