1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taulo za kike kwa wasichana Uganda

7 Novemba 2017

Wasichana wa shule nchini Uganda sasa wanaweza kubaki shuleni hata wakiwa kwenye hedhi baada ya kupata ufumbuzi wa kutengeneza taulo za kike zinazoweza kufuliwa na kurudiwa tena

https://p.dw.com/p/2nCYz