Tanzania:Wakimbizi waliokimbilia Somalia watarajiwa kurudi visiwani Zanzibar | Matukio ya Afrika | DW | 05.07.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Tanzania:Wakimbizi waliokimbilia Somalia watarajiwa kurudi visiwani Zanzibar

Kiasi ya wakimbizi 38 wanaoishi Somalia miongoni mwa wale wakimbizi 2000 walikimbia kisiwani Pemba baada ya vurugu za kisiasa za Januari 2001 wanatarajiwa kuwasili kesho (06.07.2012) visiwani Zanzibar.

Kambi ya wakimbizi Somalia

Kambi ya wakimbizi Somalia

Hali inatokana na ugumu maisha nchini Somalia unachangiwa zaidi na mapigano yanayoendelea katika taifa hilo. Sudi Mnette amezungumza na Austin Makani ambae ni msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR nchini Tanzania, na kwanza alimuuliza hatua iliyofikiwa na juhudi za nani?

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada