1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Tanzania:Meli ya MV.Maendeleo yakwama baharini Mkoani/Pemba

Meli ya serikali ya MV. Maendeleo imekwama kiasi cha mita 100 kutoka bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba ikikadiriwa kuwa na kiasi ya abiria 300 ndani yake.

Meli ya MV.Maendeleo yakwama Mkoani/Pemba

Meli ya MV.Maendeleo yakwama Mkoani/Pemba

Meli hiyo iliondoka Unguja jana usiku na ilitakiwa ifike Pemba saa 12:00 asubuhi. Lakini mpaka sasa bado ipo baharini huku kukiwa na msongamano wa watu wakiwemo watoto kadhaa wakilia njaa kutokana na kukosekana chakula. Sudi Mnette amezungumza na mkazi wa Pemba Kassim Kishuka, kuhusu kisa hicho.

(Kusikiliza mazungumzo hayo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada