1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania:Haki Elimu yapinga matokeo ya mtihani kurejewa upya

7 Mei 2013

Serikali ya Tanzania imetangaza kusahihisha upya kwa matokeo ya wanafunzi wa kidato cha nne.

https://p.dw.com/p/18TOe
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari nchini Tanzania wakiwa darasani
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari nchini Tanzania wakiwa darasaniPicha: DW/J. Hahn

Kufuatia hatua ya serikali ya Tanzania ya kutangaza kusahihisha upya matokeo ya wanafunzi wa kidato cha nne waliofanya mtihani mwaka uliopita kutokana na zaidi ya asilimia 60 kufeli,shirika la kiraia la haki elimu Tanzania pamoja na mashirika mengine manne leo yametoa kauli yao kuhusiana na hatua hiyo. Caro Robi amezungumza na Bw. Nyanda Shuli meneja wa habari na utetezi wa haki elimu na kwanza alitaka kujua wametoa kauli gani leo? Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Caro Robi

Mhariri: Mohammed Abdul Rahman