Tanzania: Tume ya kukusanya maoni ya Katiba mpya imeapishwa
13 Aprili 2012Matangazo
Kuapishwa kwa wajumbe wa tume hiyo ilioteuliwa sasa kunafungua safari mpya kwa taifa hilo kuelekea kwenye katiba mpya.
Kutoka Dar es salaam, mwandishi wetu George Njogopa na taarifa zaidi.
(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: George Njogopa
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman