Tanzania: Nakisi ya Bajeti kuongezeka kwa asilimia kumi na tano | Matukio ya Afrika | DW | 26.07.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Tanzania: Nakisi ya Bajeti kuongezeka kwa asilimia kumi na tano

Serikali ya Tanzania imekadiria nakisi yake ya bajeti kwa kipindi cha mwaka wa fedha Julai 2011 hadi June 2012 itaongezeka kufikia asilimia 15 ya pato jumla,kwa sababu ya ongezeko la uagizaji mafuta na gesi kutoka nje.

Kikao cha Shirika la fedha la kimataifa IMF

Kikao cha Shirika la fedha la kimataifa IMF

Hayo ni kwa mujibu wa barua iliyoitumwa kwa Shirika la fedha la kimataifa IMF. Kutaka kujuwa chanzo cha hali hiyo Sudi Mnette amezungumza na Profesa wa Uchumi Ibrahim Lipumba aliyeko mjini Dar es salaam ambaye kwanza alikuwa na haya ya kueleza.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za maskioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri:Moahammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada