Tanzania: Mitandao ya kijamii na uchumi | Mada zote | DW | 10.11.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Tanzania: Mitandao ya kijamii na uchumi

Mwenzangu Mohammed Khelef amezungumza na George Akilimali, mwanzilishi wa Kampuni ya SmartCore Social Enterprise, inayojihusisha na uwezeshaji wa vijana katika kuifikia teknolojia, jijini Arusha, kaskazini mwa Tanzania, juu ya dhana ya "uchumi wa mitandao ya kijamii".

Sikiliza sauti 02:55
Sasa moja kwa moja
dakika (0)