1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania: Kuuwawa kwa watu kutokana na imani ya kishirikina

30 Mei 2012

Makundi ya wanaharakati ya haki za binaadamu nchini Tanzania yanasema kiasi ya watu 3000 wameuwawa nchini humo kutokana na imani ya kishirikina katika kipindi cha mwaka 2005 hadi 2011.

https://p.dw.com/p/154Pn
Watu wengi wameuwawa kutokana na ushirikina
Watu wengi wameuwawa kutokana na ushirikinaPicha: Fotolia/Stasys Eidiejus

Kwa mujibu ya ripoti ya haki za binadamu iliyotolewa na Kituo cha Haki za Binaadamu na Msaada wa Sheria kwa wastani watu 500 wanauwawa kila mwaka. Sudi Mnette alimuuliza Msemaji wa Jeshil la Polisi nchini Tanzania Mrakibu Msaidizi Advera Senoso kwa nini hali imeendelea kuwa hivyo?#

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri:Abdul-Rahman,Mohammed