1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Tanzania: Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Burundi afikishwa mahakamani

Kiongozi wa chama cha upinzani cha Movement for Solidarity and Movement cha Burundi Alexis Sinduhnje leo amefikishwa tena mahakamni huko jijini Daresaalam Tanzania akikabiliwa na mashtaka ya jinai.

Kwa mara ya kwanza alipandishwa kizimbani mwishoni mwa wiki akikabiliwa na mashtaka ya mauaji, yaliyotokea nchini Burundi kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka juzi. Alex ambaye ni mwandishi wa habari na mmiliki wa kituo cha radio Publiq cha mjini Bujumbura alikuwa mpizani mkubwa wa rais Nkurunzinza katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 lakini alijitoa kabla ya kukimbilia uhamishoni ulaya.Kutoka daresalam mwandishi wetu Abubakary Liongo ametutumia taarifa ifuatayo.

Mwandishi: Aboubakary Liongo

Mhariri: Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 16.01.2012
 • Mwandishi
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13kCT
 • Tarehe 16.01.2012
 • Mwandishi
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13kCT

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com