Tanzania: Kima cha chini mishahara ya kisekta
12 Julai 2013Matangazo
Mishahara hiyo ambayo imepangwa kuanza kutolewa Julai Mosi inaanzia Shilingi 40,000 hadi 400,000. Sudi Mnette amezungumza na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Wafanyakazi nchini Tanzania(TUCTA), Nicola Mgaya, akiwa safarini mkoani Kilimanjaro na kwanza alitaka kujua wameipokeaje nyongeza hiyo? Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Mohamed Abdulrahman