Tanzania: Hotuba ya Rais Kikwete
1 Agosti 2014Matangazo
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete alizungumzia ngwe ya pili ya vikao hivyo ambayo intarajiwa kuanza tarehe 5 mwezi huu na kuhimiza kundi la wabunge lililosusia vikao hivyo lirejee bungeni. Kutoka Dar es Salaam,Sudi Mnette iamezungumza na mchambuzi wa siasa Gwandumi Mwakatobe kwanza ailitaka kujua anaizungumziaje hotuba ya Rais Kikwete. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Mohamed Khelef