1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

Talaka zatisha visiwani Zanzibar

Mohammed Khelef
22 Februari 2017

Kiwango cha kuvunjika kwa ndoa kinawashituwa viongozi wa kidini na kijamii visiwani Zanzibar, katika nchi ambayo inatambuliwa kama kitovu cha ustaarabu kwenye upwa wa Afrika ya Mashariki na sasa viongozi hao wanasaka njia ya kukabiliana na mporomoko huu wa maadili ya kifamilia.

https://p.dw.com/p/2Y36u