1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Takwimu mpya la watu waliouawa katika ajali ya ndege Benin:

1 Januari 2004
https://p.dw.com/p/CFnE
COTONOU: Katika ile ajali ya ndege iliyotokea mbele ya mwambao wa Benin maafisa wa serikali wametangaza takwimu mpya za watu waliouawa. Wizara ya Mambo ya Afya katika mji mkuu Cotonou iliarifu wameuawa watu 138 katika ajali hiyo iliyotokea hapo wiki iliyopita. Watu 21 walinusurika na ajali hiyo.